Rais Samia ashiriki Tamasha la Bulabo

MWANZA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, akishiriki Tamasha la Kiutamaduni la Bulabo, katika Uwanja wa Bulabo, Kisesa, Magu mkoani Mwanza. Kushoto kwa  Rais ni Chifu Antonia Tonisizya, Mwenyekiti wa Umoja wa Machifu, Tanzania na kulia kwake ni Chifu Nyamilonda II, Aron Mikomangwa, ambaye ni Katibu wa Machifu.

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button