Africa

Ethiopia yapiga marufuku mifuko ya plastiki

MAMLAKA ya Kulinda Mazingira nchini Ethiopia imetangaza kuwa itaanza kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Januari 31, 2026.…

Soma Zaidi »

Raia 119 wa Kenya waokolewa Myanmar

SERIKALI ya Kenya imesema kuwa imefanikiwa kuwaokoa raia wake 119 waliokuwa wamekwama nchini Myanmar. Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya…

Soma Zaidi »

Afrika kuendelea kushirikiana na Urusi

SERIKALI ya Tanzania imetaja vipaumbele vya kuzingatiwa katika ushirikiano kati ya Afrika na Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje na…

Soma Zaidi »

Diageo yauza hisa zote EABL kwa Asahi Group

Nairobi, Kenya: Kampuni ya East African Breweries PLC (EABL) imetangaza kuwa kampuni ya Diageo imekubali kuuza hisa zake zote za…

Soma Zaidi »

Afrika yadai haki kwa waathirika wa Ukoloni

VIONGOZI wa Afrika wamekusanyika mjini Algiers, Algeria, kuhimiza kuwa uhalifu wa enzi za ukoloni unapaswa kutambulika, kuhalalishwa kama jinai na…

Soma Zaidi »

Wakimbizi wa Burundi kutopewa uraia Tanzania

BURUNDI: SERIKALI ya Tanzania imewataka wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi nchini wawe tayari kurejea nchini mwao ambako imewahakikishia kurejea…

Soma Zaidi »

Mbwa wa Rais wapotea Malawi

POLISI nchini Malawi wanachunguza wizi wa mbwa wanne wa polisi waliopotea kutoka Ikulu ya Rais mjini Lilongwe wakati wa mpito…

Soma Zaidi »

Tinubu atangaza dharura ya usalama

RAIS wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ametangaza hali ya dharura ya usalama wa kitaifa kufuatia kuongezeka kwa matukio ya mauaji,…

Soma Zaidi »

Karne moja baada ya kugawanywa Afrika

DAR ES SALAAM: Karne moja baada ya Ulaya kulitawanya Bara la Afrika katika kile kilichoitwa “Scramble for Africa,” ushindani mpya…

Soma Zaidi »

SADC yazindua Mkakati wa Mawasiliano 2025/2030

JUMUIYA ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezindua Mkakati wa Mawasiliano na Uhamasishaji ya mwaka 2025/2030 ili kuimarisha mawasiliano, uhusiano…

Soma Zaidi »
Back to top button