Africa

Watu 40 wapoteza maisha Darfur

DARFUR, SUDAN : SHIRIKA la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limeripoti kuwa takriban watu 40 wamefariki dunia katika eneo la…

Soma Zaidi »

Juba yakanusha kuwapokea Wapalestina

JUBA, SUDAN KUSINI : WIZARA ya Mambo ya Nje ya Sudan Kusini imekanusha ripoti zinazodai kuwa imefanya mazungumzo na Israel…

Soma Zaidi »

EU yatishia kuiwekea vikwazo Iran

GENEVA : UFARANSA na Ujerumani zimeonya zitarudisha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran iwapo suluhu la kidiplomasia halitapatikana…

Soma Zaidi »

Marekani yaidhibiti Pareco-FF

WASHINGTON DC : MAREKANI imeliwekea vikwazo kundi lenye silaha nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linaloshutumiwa kwa uchimbaji haramu wa…

Soma Zaidi »

Ukombozi kiuchumi safari ndefu, SADC yakumbusha

NCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia…

Soma Zaidi »

Rwanda yapinga tuhuma za kuisaidia M23

RWANDA : SERIKALI ya Rwanda imetupilia mbali tuhuma za Umoja wa Mataifa kwamba jeshi lake limekuwa likiunga mkono waasi wa…

Soma Zaidi »

Wanamgambo RSF waua 40 Darfur

DARFUR : WATU 40 wameuawa na wengine 19 kujeruhiwa baada ya wanamgambo wa Kikosi cha Usaidizi wa Haraka (RSF) kushambulia…

Soma Zaidi »

Mali yakabili jaribio la mapinduzi

BAMAKO , MALI : SERIKALI ya kijeshi nchini Mali imewakamata karibu wanajeshi 50 wanaoshukiwa kupanga njama ya kupindua utawala huo,…

Soma Zaidi »

Ruto: Masoko ya China ni muhimu

NAIROBI, KENYA: RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto, amesema kuwa uamuzi wa Kenya katika sera za mambo ya nje unaongozwa…

Soma Zaidi »

Sudan yaangusha ndege ya Emarati

KHARTOUM,SUDAN : JESHI la anga la Sudan limeharibu ndege ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) iliyokuwa ikibeba wapiganaji mamluki…

Soma Zaidi »
Back to top button