Kimataifa

Rais Chakwera akubali kushindwa uchaguzi

MALAWI : RAIS wa Malawi, Lazarus Chakwera, amekubali kushindwa uchaguzi mkuu na kuliambia taifa lake kwamba anafanya hivyo kwa kuheshimu…

Soma Zaidi »

Rais anusurika kufa mara tano

MOGADISHU:RAIS wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, amesema kuwa yeye ndiye sasa shabaha kuu ya kundi la kigaidi la al-Shabaab linalohusishwa…

Soma Zaidi »

Matumaini mapya kwa watu wenye VVU

MAREKANI : DAWA mpya ya kuzuia maambukizi ya VVU, iitwayo Lenacapavir, inatarajiwa kupatikana kwa gharama nafuu katika zaidi ya nchi…

Soma Zaidi »

Mkutano wa dharura DRC kufanyika Paris

DR CONGO : RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi, amewaomba wanachama wa Umoja wa Mataifa kutambua mauaji…

Soma Zaidi »

UN yaonya kuhusu ghasia Gaza

NEW YORK : KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres amesema amani ya kudumu katika Ukanda wa Gaza haiwezi…

Soma Zaidi »

NEMC yashiriki kongamano la binadamu na hifadhi hai

CHINA: Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki Kongamano la Dunia la Programu ya UNESCO ya…

Soma Zaidi »

Museveni aidhinishwa kugombea urais

KAMPALA,Uganda : TUME ya Uchaguzi ya Uganda imemuidhinisha Rais Yoweri Museveni kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao. Museveni, mwenye umri…

Soma Zaidi »

DRC : Spika wa bunge ajiuzulu

DR CONGO : SPIKA wa Baraza la Chini la Bunge nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Vital Kamerhe, amejiuzulu…

Soma Zaidi »

Wafanyakazi wa anga watishia mgomo

KENYA : CHAMA cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga nchini Kenya (KAWU) kimetoa notisi ya siku saba cha kutishia mgomo…

Soma Zaidi »

Maelfu waandamana kuunga mkono Palestina

ITALIA : MAELFU ya watu nchini Italia wamejitokeza mitaani kushinikiza mshikamano na raia wa Palestina walioko Gaza. Waandamanaji hao walikusanyika…

Soma Zaidi »
Back to top button