Kimataifa

Rwanda yapinga tuhuma za kuisaidia M23

RWANDA : SERIKALI ya Rwanda imetupilia mbali tuhuma za Umoja wa Mataifa kwamba jeshi lake limekuwa likiunga mkono waasi wa…

Soma Zaidi »

Wanamgambo RSF waua 40 Darfur

DARFUR : WATU 40 wameuawa na wengine 19 kujeruhiwa baada ya wanamgambo wa Kikosi cha Usaidizi wa Haraka (RSF) kushambulia…

Soma Zaidi »

Mali yakabili jaribio la mapinduzi

BAMAKO , MALI : SERIKALI ya kijeshi nchini Mali imewakamata karibu wanajeshi 50 wanaoshukiwa kupanga njama ya kupindua utawala huo,…

Soma Zaidi »

Waandishi watano Al Jazeera wauawa Gaza

GAZA, PALESTINA : KITUO cha Habari cha Al Jazeera kimethibitisha waandishi wake watano kuuawa katika shambulio la anga la Israel…

Soma Zaidi »

Australia yatangaza kuitambua Palestina

CANBERRA, AUSTRALIA : SERIKALI ya Australia imetangaza kuitambua rasmi Palestina kama taifa huru katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa…

Soma Zaidi »

UN yaipinga Israel kuongeza mapigano Gaza

NEW YORK: UMOJA wa Mataifa umesema unapinga vikali mpango wa Israel wa kupanua operesheni zake katika Ukanda wa Gaza.

Soma Zaidi »

Trump, Putin kukutana wiki ijayo

GENEVA : NAIBU Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Dmitry Polyanskiy, amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin, huenda akakutana…

Soma Zaidi »

Marekani yajenga kituo cha wahamiaji Texas

WASHINGTON : SERIKALI ya Marekani imejenga kituo chake cha kwanza kikubwa cha kuhudumia wahamiaji katika kambi ya jeshi la Fort…

Soma Zaidi »

Sudan yalia na mlipuko wa kipindupindu

GENEVA: SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa takribani watu 100,000 nchini Sudan wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu tangu mwezi Julai…

Soma Zaidi »

Uingereza yapiga marufuku ‘daktari wa mitaani’

LONDON, UINGEREZA : SERIKALI ya Uingereza imetangaza mikakati mipya ya kudhibiti upasuaji wa kuboresha mwonekano wa mwili, ikiwemo kuongeza makalio,…

Soma Zaidi »
Back to top button