Kimataifa

M23 Yatuhumiwa Kuua 169 DRC

KINSHASA, DRC : UMOJA wa Mataifa umesema kuwa watu 169 wameuawa mwanzoni mwa mwezi huu kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na waasi…

Soma Zaidi »

Zelensky: Mali za Urusi Zitaifishwe

KIEV, UKRAINE : RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametoa wito kwa mataifa ya Magharibi kutaifisha mali zote za Urusi zilizozuiwa,…

Soma Zaidi »

Bei ya mafuta yazua ghasia Angola

LUANDA, ANGOLA : TAKRIBAN watu 22, wakiwemo raia na afisa wa polisi, wamefariki dunia huku wengine zaidi ya 200 wakijeruhiwa…

Soma Zaidi »

Canada kuunga mkono Palestina

OTTAWA,CANADA : WAZIRI Mkuu wa Canada, Mark Carney, ametangaza kuwa nchi yake inapanga kulitambua rasmi Taifa la Palestina katika Baraza…

Soma Zaidi »

Marekani yaitwisha India ushuru mpya

WASHINGTON,MAREKANI : RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa serikali yake itaanza kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingizwa…

Soma Zaidi »

Biashara ya binadamu yaongezeka-IOM

ASIA : UMOJA wa Mataifa kupitia Shirika lake la Uhamiaji (IOM), umesema biashara haramu ya binadamu inaendelea kuongezeka kwa kasi…

Soma Zaidi »

Sudan Kusini yapoteza askari 5 mpakani

JUBA : TAKRIBAN askari watano wa Sudan Kusini wameuawa katika mapigano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF)…

Soma Zaidi »

Tetemeko la kihistoria laleta taharuki Urusi

MOSCOW, URUSI : TETEMEKO kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.7 kwenye kipimo cha Richter limeripotiwa mapema leo nchini Urusi…

Soma Zaidi »

Bessent, He Lifeng wakutana Stockholm

STOCKHOLM, USWIDI : SERIKALI ya Marekani na China zimeingia katika siku ya pili ya mazungumzo ya ngazi ya juu jijini…

Soma Zaidi »

Ouattara kutafuta muhula wa nne Ivory Coast

ABIDJAN, IVORY COAST : RAIS wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ametangaza rasmi nia ya kuwania tena urais kwa muhula wa…

Soma Zaidi »
Back to top button