Kimataifa

Iran kuendeleza mazungumzo IAEA

TEHRAN : SERIKALI ya Iran imesema itaendelea na mazungumzo na Shirika la Kudhibiti Nyuklia la Umoja wa Mataifa (IAEA), licha…

Soma Zaidi »

Mazoezi ya kijeshi yaiva Seoul

SEOUL : KOREA KUSINI kwa kushirikiana na Marekani wameanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya pamoja yanayolenga kukabiliana na vitisho vya…

Soma Zaidi »

Rasimu ya amani yawasilishwa DRC

DOHA : RASIMU ya makubaliano ya amani kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na waasi wa…

Soma Zaidi »

Watu 300 wapoteza maisha Pakistan

ISLAMABAD : IDADI ya vifo imefikia karibu watu 300 kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha kuporomoka kwa majengo katika Wilaya ya Buner,…

Soma Zaidi »

Syria yataka amani

DAMASCUS : RAIS wa Syria, Ahmed al-Sharaa, amesema juhudi za kuunganisha taifa hilo baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe…

Soma Zaidi »

Ursula,Zelensky kuungana Marekani

WASHINGTON DC : VIONGOZI wa mataifa ya Ulaya wanatarajiwa kuungana na Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine leo Jumatatu nchini Marekani…

Soma Zaidi »

Tanzania yapongezwa juhudi za amani SADC

TANZANIA imepongezwa kwa utendaji mzuri wa kushughulikia changamoto za kiusalama katika Kanda ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini…

Soma Zaidi »

Watu 40 wapoteza maisha Darfur

DARFUR, SUDAN : SHIRIKA la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limeripoti kuwa takriban watu 40 wamefariki dunia katika eneo la…

Soma Zaidi »

Juba yakanusha kuwapokea Wapalestina

JUBA, SUDAN KUSINI : WIZARA ya Mambo ya Nje ya Sudan Kusini imekanusha ripoti zinazodai kuwa imefanya mazungumzo na Israel…

Soma Zaidi »

Ushuru Marekani, Brazil yachukua hatua

SERIKALI ya Brazil imezindua mpango wa kuyaunga mkono makampuni ya ndani yaliyoathiriwa na ushuru wa asilimia 50 uliotangazwa na Rais…

Soma Zaidi »
Back to top button