Kimataifa

Guinra yapiga kura ya maoni kubadilisha katiba

GUINEA : RAIA wa Guinea wamepiga kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa kijeshi, Jenerali…

Soma Zaidi »

CHP yamchagua Ozel kuwa kiongozi

UTURUKI: CHAMA kikuu cha upinzani nchini Uturuki, CHP, kimemchagua tena Ozgur Ozel kuwa kiongozi wake katika mkutano mkuu uliofanyika Jumapili,…

Soma Zaidi »

Marekani yadhibiti sheria za TikTok

WASHINGTON DC : SERIKALI ya Marekani imetangaza kuwa makampuni ya Marekani yatadhibiti mchakato wa kanuni za kompyuta (algorithm) za TikTok…

Soma Zaidi »

Mutharika aongoza matokeo ya awali urais

MALAWI: RAIS wa zamani wa Malawi, Peter Mutharika, anaongoza katika uchaguzi uliofanyika Septemba 16, 2025, kwa mujibu wa matokeo ya…

Soma Zaidi »

Vyama viwili vyajitangazia ushindi urais

MALAWI : VYAMA vya siasa vinavyowaunga mkono wagombea wakuu wa urais nchini Malawi vimejitangazia ushindi kabla ya Tume ya Uchaguzi…

Soma Zaidi »

Maelfu ya wafanyakazi waandamana Paris

PARIS: MAELFU ya wafanyakazi mjini Paris wamegoma kufanya kazi na kuandamana jijini Paris wakipinga mpango wa serikali wa kupunguza bajeti.

Soma Zaidi »

Mashambulizi Gaza yatikisa huduma za afya

GENEVA : MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameonya kuwa mashambulizi ya ardhini yanayoendelea kufanywa…

Soma Zaidi »

Nchi za Kiarabu,Kiislamu kujitenga na Israel

DOHA, QATAR : VIONGOZI wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu wamesema wanapitia upya mahusiano yao na Israel kufuatia shambulizi kubwa…

Soma Zaidi »

Putin: Msitumie Mali za Urusi

MOSCOW, URUSI : SERIKALI ya Urusi imeonya kuwa italishambulia taifa lolote la Ulaya litakalothubutu kuchukua mali zake zilizozuiwa, kufuatia mapendekezo…

Soma Zaidi »

Tabaka la Ozoni laanza kuimarika

NEW YORK , MAREKANI : RIPOTI mpya ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), chini ya Umoja wa Mataifa,…

Soma Zaidi »
Back to top button