Kimataifa

Uchaguzi Mkuu Malawi kufanyika leo

LILONGWE , MALAWI : WANANCHI wa Malawi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wa ngazi ya urais, ubunge na udiwani katika…

Soma Zaidi »

Machar afunguliwa mashtaka Sudan Kusini

JUBA : MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, amefunguliwa mashtaka mazito ya mauaji, uhaini na uhalifu…

Soma Zaidi »

Kesi ya Kabila kuamuliwa leo Kinshasa

KINSHASA : MAHAKAMA Kuu ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) inatarajiwa leo kutoa uamuzi wa kwanza kuhusu mashtaka…

Soma Zaidi »

Waafrika sasa kuingia Burkina Faso bure

OUAGADOUGOU, Burkinafaso : SERIKALI ya Burkina Faso imetangaza kufuta ada za viza kwa raia wote wa nchi za Afrika, hatua…

Soma Zaidi »

Starmer amtimua balozi kwa kashfa ya Epstein

LONDON: WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, amemfuta kazi Balozi wa Uingereza nchini Marekani, Peter Mandelson, kufuatia madai ya uhusiano…

Soma Zaidi »

Sudan Kusini kuwarejesha wahamiaji

JUBA: SERIKALI ya Sudan Kusini imesema ipo katika mazungumzo na baadhi ya nchi za kigeni ili kuwarejesha wahamiaji waliopokelewa kutoka…

Soma Zaidi »

Bolsonaro ahukumiwa miaka 27 jela

BRAZIL: RAIS wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu jela baada ya kupatikana…

Soma Zaidi »

Cuba yakosa umeme,wananchi waathirika

CUBA : KWA mara nyingine, taifa la Cuba limekumbwa na tatizo la kukatika kwa umeme nchi nzima kutokana na uchakavu…

Soma Zaidi »

Doha yalaani matamshi ya Israel

DOHA, Qatar : SERIKALI ya Qatar imelaani vikali kauli ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu,aliyeitaka nchi hiyo kuwatimua viongozi…

Soma Zaidi »

Serikali ya mpito kuanza kujadiliwa

NEPAL :HALI ya utulivu imeanza kurejea nchini Nepal siku chache baada ya waandamanaji kuipindua serikali na kuchoma moto majengo ya…

Soma Zaidi »
Back to top button