Kimataifa

Shujaa wa Demokrasia Ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025

DUNIA imeelekeza macho yake Venezuela, ambako sauti ya mwanamke jasiri imekuwa alama ya matumaini mapya. María Corina Machado, kiongozi wa…

Soma Zaidi »

Ruto aitisha kikao kufuatia msiba wa kitaifa

RAIS wa Kenya, William Ruto, leo ameingia katika kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Kitaifa, huku akitarajiwa kuongoza…

Soma Zaidi »

Waziri mkuu mpya ajiuzulu Ufaransa

PARIS: WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, aliyeteuliwa hivi karibuni, amejiuzulu Jumatatu katika hatua ambayo haikutarajiwa. Ikulu ya Elysée imesema…

Soma Zaidi »

Maadili na haki za binadamu: Mvutano wa aina yake Afrika

MIJADALA kuhusu uhuru wa maamuzi na maadili barani Afrika inazidi kupamba moto, na Tanzania iko katikati ya mvutano wa kitamaduni…

Soma Zaidi »

Ebola yaibuka tena Congo

DR CONGO : SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema mripuko wa Ebola ulioanza mwanzoni mwa Septemba nchini DRC umesababisha vifo…

Soma Zaidi »

Musk avunja rekodi ya utajiri duniani

NEW YORK, Marekani : MKURUGENZI Mtendaji wa Tesla, Elon Musk, amekuwa mtu wa kwanza duniani kufikia thamani ya utajiri wa…

Soma Zaidi »

PPRD: Hukumu ya Kabila ni ya kisiasa

DR CONGO : CHAMA cha People’s Party for Reconstruction and Democracy (PPRD) cha Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia…

Soma Zaidi »

Mali Algeria zalumbana kuhusu droni

NEW YORK : TUKIO la kudunguliwa droni ya Mali katika anga ya Algeria limezidisha mvutano kati ya mataifa haya mawili…

Soma Zaidi »

Maduro aanza kudhibiti usalama

VENEZUELA : RAIS wa Venezuela, Nicolas Maduro, ametia saini amri inayompa mamlaka ya ziada ya kudhibiti hali ya usalama nchini…

Soma Zaidi »

Rais wa Madagascar avunja serikali

MADAGASCAR : RAIS wa Madagascar, Andry Rajoelina, ameivunja serikali yake jana Jumatatu baada ya machafuko makubwa yaliyosababisha vifo vya watu…

Soma Zaidi »
Back to top button