MOLDOVA : CHAMA tawala cha Moldova kinachounga mkono Umoja wa Ulaya (EU) kimeibuka kinachoongoza katika uchaguzi wa bunge, kufuatia kura…
Soma Zaidi »Ulaya
LONDON: UINGEREZA , Australia na Canada zimetangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, hatua inayotajwa kuwa mabadiliko makubwa ya sera za…
Soma Zaidi »UTURUKI: CHAMA kikuu cha upinzani nchini Uturuki, CHP, kimemchagua tena Ozgur Ozel kuwa kiongozi wake katika mkutano mkuu uliofanyika Jumapili,…
Soma Zaidi »PARIS: MAELFU ya wafanyakazi mjini Paris wamegoma kufanya kazi na kuandamana jijini Paris wakipinga mpango wa serikali wa kupunguza bajeti.
Soma Zaidi »MOSCOW, URUSI : SERIKALI ya Urusi imeonya kuwa italishambulia taifa lolote la Ulaya litakalothubutu kuchukua mali zake zilizozuiwa, kufuatia mapendekezo…
Soma Zaidi »OSLO, NORWAY : WAZIRI Mkuu wa Norway, Jonas Gahr Støre ametangaza ushindi katika uchaguzi wa bunge uliofanyika jana Jumatatu.
Soma Zaidi »PARIS, UFARANSA: WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Francois Bayrou ameondolewa madarakani baada ya serikali yake kupoteza kura ya imani katika Bunge…
Soma Zaidi »KYIV, UKRAINE: JENGO kuu la serikali ya Ukraine huko Kyiv limepigwa kwa mara ya kwanza katika vita dhidi ya Urusi,…
Soma Zaidi »LONDON, UINGEREZA: MAMILIONI ya Wakazi wa London wanakabiliwa na changamoto kubwa ya usafiri kufuatia kuanza kwa mgomo wa siku tano…
Soma Zaidi »BERLIN : KANSELA wa Ujerumani, Friedrich Merz, amemtuhumu Rais Vladmir Putin kwa kuchelewesha makusudi mazungumzo ya amani na Ukraine.
Soma Zaidi »