Ulaya

Bayrou aondoka, Macron aanza mchakato kumtafuta mrithi

PARIS, UFARANSA: WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Francois Bayrou ameondolewa madarakani baada ya serikali yake kupoteza kura ya imani katika Bunge…

Soma Zaidi »

Jengo la serikali lashambuliwa Kyiv

KYIV, UKRAINE: JENGO kuu la serikali ya Ukraine huko Kyiv limepigwa kwa mara ya kwanza katika vita dhidi ya Urusi,…

Soma Zaidi »

Usafiri wa treni wasimama London

LONDON, UINGEREZA: MAMILIONI ya Wakazi wa London wanakabiliwa na changamoto kubwa ya usafiri kufuatia kuanza kwa mgomo wa siku tano…

Soma Zaidi »

Ulaya yajipanga kuongeza vikwazo

BERLIN : KANSELA wa Ujerumani, Friedrich Merz, amemtuhumu Rais Vladmir Putin kwa kuchelewesha makusudi mazungumzo ya amani na Ukraine.

Soma Zaidi »

Ujerumani kuwapokea wakimbizi 942

BERLIN, UJERUMANI: SERIKALI ya Ujerumani imesema imewapokea wakimbizi 942 kutoka nchi mbalimbali duniani kwa mwaka huu kupitia mpango wa Umoja…

Soma Zaidi »

Joto kali Ulaya laua watatu

LONDON, UINGEREZA : WATU watatu wamefariki dunia na maelfu kulazimika kuyahama makazi yao kutokana na mioto ya nyika inayosababishwa na…

Soma Zaidi »

Trump, Putin kukutana Alaska wiki hii

ALASKA : VIONGOZI wa Umoja wa Ulaya (EU) wamemuomba Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhakikisha usalama wao katika mkutano wa…

Soma Zaidi »

Australia yatangaza kuitambua Palestina

CANBERRA, AUSTRALIA : SERIKALI ya Australia imetangaza kuitambua rasmi Palestina kama taifa huru katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa…

Soma Zaidi »

Trump, Putin kukutana wiki ijayo

GENEVA : NAIBU Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Dmitry Polyanskiy, amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin, huenda akakutana…

Soma Zaidi »

Uingereza yapiga marufuku ‘daktari wa mitaani’

LONDON, UINGEREZA : SERIKALI ya Uingereza imetangaza mikakati mipya ya kudhibiti upasuaji wa kuboresha mwonekano wa mwili, ikiwemo kuongeza makalio,…

Soma Zaidi »
Back to top button