Ulaya

Mashambulizi Kiev yaua watu 31

KIEV, UKRAINE : IDADI ya watu waliouawa katika jiji la Kiev, Ukraine, imeongezeka na kufikia 31 kufuatia shambulio la makombora…

Soma Zaidi »

Zelensky: Mali za Urusi Zitaifishwe

KIEV, UKRAINE : RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametoa wito kwa mataifa ya Magharibi kutaifisha mali zote za Urusi zilizozuiwa,…

Soma Zaidi »

Peskov: Hatulengi raia, tunataka amani

MOSCOW, URUSI : SERIKALI ya Urusi imedai kuwa Rais Vladimir Putin ana dhamira ya kweli ya kupatikana kwa amani kati…

Soma Zaidi »

Netanyahu awashutumu viongozi wa Ulaya kuhusu Gaza

WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amewashutumu viongozi wa Uingereza, Ufaransa na Canada kwa kile alichokiita “kuwapa Hamas zawadi kubwa”…

Soma Zaidi »

Papa Francis afariki Dunia akiwa na miaka 88

VATICAN – Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 88. Taarifa…

Soma Zaidi »

Wahuni wachoma moto mifumo ya treni Ufaransa

UFARANSA – Shirika la reli la kitaifa la Ufaransa SNCF lilisema siku ya Ijumaa kuwa mtandao wa reli ya mwendo…

Soma Zaidi »

Uchaguzi Mkuu Uingereza kufanyia leo

LONDON: UCHAGUZI Mkuu nchini Uingereza unafanyika leo huku mtazamo ukionyesha Chama cha Labour kupewa nafasi kubwa ya ushindi. Kura za…

Soma Zaidi »

Mbappe arejea Ufaransa kwa matibabu

UJERUMANI – SHIRIKISHO la Soka nchini Ufaransa (FFF) limesema Kylian Mbappe amerejea kwenye kambi ya timu ya taifa na atatibiwa…

Soma Zaidi »

Ukraine yaitaka Urusi mazungumzo ya amani

USWISI – Ukraine imesema iko tayari kufanya mazungumzo na Urusi lakini itafanya hivyo pale tu itakapo kuwa na msimamo thabiti…

Soma Zaidi »

Wananchi wapiga kura kuwauwa njiwa mjini

UJERUMANI – Wakaazi wa Limburg-an-der-Lahn wamepiga kura ya kuangamiza njiwa wote katika mji huo wa Ujerumani, wakidai idadi ya ndege…

Soma Zaidi »
Back to top button