Maoni

Maagizo ya Waziri Mkuu taasisi za umma yazingatiwe

JUZI Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa maagizo saba kwa taasisi za umma na watumishi wa umma kuhusu mifumo kusomana akilenga…

Soma Zaidi »

Mikakati inahitajika kupata soko la mwani EA

TANZANIA ni nchi pekee kati ya nane wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) inayozalisha zao la mwani kwa wingi…

Soma Zaidi »

Kampeni msaada wa kisheria inastahili tuzo

 KAMPENI ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inayotekelezwa sasa mkoani Dar es Salaam, imeonesha ni jinsi gani uongozi una…

Soma Zaidi »

Rais Samia ameahidi, ametekeleza, apewe maua yake

KATIKA hotuba yake bungeni Aprili 22, 2021, pamoja na mambo mengine, Rais Samia Suluhu Hassan aliweka bayana kwamba Serikali ya…

Soma Zaidi »

Tuchape kazi zaidi kukuza uchumi

WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Profesa Kitila Mkumbo Juni 12 aliwasilisha bungeni Taarifa ya Hali…

Soma Zaidi »

Karibu-Kilifair 2025 kuing’arisha sekta ya utalii EAC

JUHUDI za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kujenga sekta moja ya utalii itakayoifanya Kanda nzima kuwa kitovu cha utalii zimezaa…

Soma Zaidi »

Agizo la udhibiti bidhaa viwandani lizingatiwe

KATIKA moja ya eneo ambalo Watanzania wamekuwa wakilalamikia ni ubora wa bidhaa zinazozalishwa iwe ndani au nje ya nchi. Kwa…

Soma Zaidi »

Heko sekretarieti EAC kwa mipango thabiti

WIKI iliyopita kulikuwa na vikao takribani vitatu jijini Arusha vilivyohusu masuala ya maendeleo kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki…

Soma Zaidi »

Ushirikiano Tanzania, Japan mfano ukuaji uwekezaji kimataifa

USHIRIKIANO baina ya Tanzania na Japan unaelezwa kuzidi kukua na kuimarika hasa katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia. Kwa…

Soma Zaidi »

Kila la heri Simba, Watanzania wako nyuma yenu

SIMBA ina kila sababu ya kushinda Kombe la Shirikisho Afrika kwenye ardhi yake ya nyumbani. Baada ya zaidi ya miaka…

Soma Zaidi »
Back to top button