Maoni

Viongozi wa dini nguzo ya amani uchaguzi mkuu

WATANZANIA wakiwa wamebakiza siku 16 kuanzia leo ili kuingia katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa wagombea wa nafasi mbalimbali kuanzia…

Soma Zaidi »

Tuwekeze kwenye soka la watoto kitaalamu

NDOTO za Taifa Stars kuwa moja kati ya timu nne zitakazopata nafasi ya kucheza mechi za mchujo kuwaniakufuzu fainali za…

Soma Zaidi »

Wakazi mijini hatarini uchafuzi wa hewa

UCHAFUZI wa hewa umeendelea kuwa tishio kubwa kwa afya ya wananchi nchini Tanzania.Tafiti za hivi karibuni zinaonesha kuwa viwango vya…

Soma Zaidi »

Jamii iunge mkono mikakati kuwalinda watoto nchini

SHERIA ya Mtoto ya Mwaka 2009 na marekebisho yake pamoja na Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977 vinaeleza mtoto ni…

Soma Zaidi »

Taifa Stars ijipange na AFCON Morocco

TAIFA Stars haina budi kubadili muelekeo wake na sasa wanapaswa kuwaza jinsi gani ya kujiandaa na fainali za Mataifa ya…

Soma Zaidi »

Pongezi serikali kutumia Ziwa Victoria kusambaza maji nchini

TUNAPONGEZA hatua ya serikali kuendelea kutumia maji ya Ziwa Victoria kwa ustawi wa wananchi katika kuboresha huduma za maji safi…

Soma Zaidi »

Wawakilishi wetu wa kimataifa tupambane

TIMU nne za Tanzania zinazoshiriki mashindano ya kimataifa za Yanga, Simba, Azam FC na Singida Black Stars zimeanza vizuri mashindano…

Soma Zaidi »

Samia apokea waliohama CUF, Chaumma, Chadema

LINDI : MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amepokea wanachama wapya kutoka Chama cha…

Soma Zaidi »

Epukeni kujiingiza kwenye makosa ya kimtandao

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa taarifa juu ya kumkamata mtuhumiwa mmoja kwa tuhuma za makosa…

Soma Zaidi »

Wadau waongeze kasi elimu ya mpigakura

LEO imetimia siku 30 tangu kampeni za vyama vya siasa zizinduliwe nchini Tanzania. Kampeni hizi zimekuwa fursa muhimu kwa vyama…

Soma Zaidi »
Back to top button