Tahariri

Komandoo Kalala kuja na kibao kuhamasisha vijana uchaguzi

DAR-ES-SALAAM : KIJIWENI leo tunakutana na mkongwe wa muziki wa dansi, Komandoo Hamza Kalala akiwa kwenye Kituo cha Runinga cha…

Soma Zaidi »

Uwekezaji kilimo cha mbaazi uenziwe kuimarisha uchumi EAC

TANZANIA ni mzalishaji bora na mkubwa wa zao la mbaazi ikishika nafasi ya pili duniani baada ya India. Hii ni…

Soma Zaidi »

Ujenzi SGR Tanzania, Burundi ni ukombozi EAC

SERIKALI ya Tanzania na ya Burundi zimeunganisha nguvu na kuzindua ujenzi wa mradi mkubwa wa kuunganisha miundombinu ya Reli ya…

Soma Zaidi »

Watanzania wachangamkie fursa maeneo ya uwekezaji

SERIKALI imezindua maeneo matano ya kipaumbele kati ya maeneo zaidi ya 34 katika Maeneo Maalumu ya Kiuchumi (SEZ) ambayo yametengwa…

Soma Zaidi »

Tanzania ijipange sawasawa neema ya urani

JUZI Rais Samia Suluhu Hassan alizindua ujenzi wa kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini ya urani katika Wilaya ya…

Soma Zaidi »

Bandari kavu, kongani ya viwanda Kwala vichochee ukuaji uchumi

LEO Rais Samia Suluhu Hassan anaweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kongani ya Viwanda Kwala pamoja na kufungua bandari…

Soma Zaidi »

Wamiliki famasi zingatieni weledi kulinda afya za wananchi

MAMLAKA ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) imeonya wamiliki wa maduka ya dawa muhimu kuacha uuzaji wa dawa ambazo haziruhusiwi kwa…

Soma Zaidi »

Madereva bodaboda thaminini kazi yenu

USAFIRI wa pikipiki maarufu kama bodaboda ni moja ya usafi ri unaotegemewa na kutumika sana mikoa mingi hapa nchini. Pamoja…

Soma Zaidi »

SADC ijipange vyema kukabili changamoto za usalama

HATUA ya Tanzania kuzikumbusha na kuzihimiza nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuhusu umuhimu wa kuimarisha…

Soma Zaidi »

Mikakati kukabili msongamano barabarani Dar izae matunda

WIKI iliyopita, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila aliitisha kikaokazi cha viongozi na watendaji wa wilaya za…

Soma Zaidi »
Back to top button