Chaguzi

‎Wananchi washauriwa kupiga kura

MWANZA: WAKAZI wa Mkoa wa Mwanza wametakiwa kutosusia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, bali wameshauriwa kujitokeza kwa wingi katika vituo…

Soma Zaidi »

Dk. Samia kusaka kura za CCM Kagera

MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kampeni mkoani Kagera tarehe 15 na…

Soma Zaidi »

Samia: Nimemuenzi Magufuli

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema amemuenzi Rais wa Serikali ya Awamu ya…

Soma Zaidi »

Umoja wa kitaifa utalinda amani ya nchi

TAASISI za kidini na kielimu kwa kushirikiana na Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Iran zimeandaa mdahalo maalumu wenye lengo…

Soma Zaidi »

‘Tukivishe Pete CCM Oktoba 29’ Kairuki

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angellah Kairuki amesema kwa kazi kubwa iliyofanywa na mgombea…

Soma Zaidi »

NLD yaja na mfumo bima ya afya kwa wote

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo amesema serikali yake itapunguza posho za…

Soma Zaidi »

Samia ajivunia makubwa ya CCM kwa nchi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimefanya makubwa kwa nchi ya Tanzania. Mwenyekiti wa CCM ambaye ni mgombea urais kupitia chama…

Soma Zaidi »

ACT Wazalendo kuongeza thamani ya bidhaa

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT–Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema serikali atakayoiongoza itaweka mkazo katika kuzipa thamani bidhaa…

Soma Zaidi »

Hemed aahidi kufufua michezo Kiwani

MGOMBEA wa Uwakilishi Jimbo la Kiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hemed Suleiman Abdulla, amesema Serikali ya Awamu ya Nane…

Soma Zaidi »

Ngajilo achanja mbuga, wapinzani wakijikongoja

IRINGA: Kampeni za uchaguzi jimbo la Iringa Mjini zimezidi kupamba moto, huku mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo,…

Soma Zaidi »
Back to top button