Chaguzi

Kishindo cha kampeni CCM

DAR ES SALAAM: MIONGONI mwa majukumu kubwa la Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kueleza mafanikio ya Ilani 2020/2025, lakini pia…

Soma Zaidi »

Dhamana ya vyombo vya habari wakati wa uchaguzi

KATIKA uchaguzi wowote duniani, vyombo vya habari vina dhima na mchango mkubwa wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi zinazohusu uchaguzi…

Soma Zaidi »

Kura ni nyenzo muhimu katika kuijenga Tanzania bora

KURA ni nyenzo muhimu zaidi ya mwananchi katika kuimarisha na kuwezesha demokrasia imara. Kupiga kura si wajibu wa kikatiba pekee,…

Soma Zaidi »

CCM Geita yaonya fitina, visasi Uchaguzi Mkuu

GEITA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita kimewataka wanachama wake kuacha kupandikiza chuki na visasi kwa wagombea waliopitishwa kuwakilisha chama…

Soma Zaidi »

Magembe achukua fomu kumrithi Kalemani

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chato Kasikazini aliyepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Coronel Lucas Magembe amechukua fomu rasmi ya…

Soma Zaidi »

Hasham achukuwa fomu Ulanga

MOROGORO: Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ulanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Salim Alaudin Hasham ameahidi ahadi ujenzi wa hospitali…

Soma Zaidi »

Mwakioja achukuwa fomu Mkinga

TANGA: MGOMBEA ubunge jimbo la Mkinga kupitia Chama Cha Mapinduzi ( CCM )Twaha Mwakioja amechukuwa fomu kwa Tume Huru ya…

Soma Zaidi »

Wananchi Monduli waisifu CCM ‘Kadogoo’ kurejeshwa

ARUSHA: WANANCHI wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha wameishukuru Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uamuzi wa kurejesha…

Soma Zaidi »

Kiza Mayeye atwaa fomu ubunge Kigoma Kaskazini

KIGOMA: Mgombea ubunge wa Chama Cha ACT Wazalendo, Kiza Mayeye amechukua fomu kutoka ume huru ya Taifa ya uchaguzi (INEC)…

Soma Zaidi »

Mchinjita akabidhiwa fomu ya uteuzi ubunge Lindi Mjini

LINDI: Isihaka Rashid Mchinjita amekabidhiwa fomu ya Uteuzi kuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Lindi Mjini kupitia Chama Cha Act…

Soma Zaidi »
Back to top button