Siasa

ADA-TADEA kuifanya Tanzania ya teknolojia

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha African Democratic Alliance (ADA-TADEA, George Busungu amesema serikali yake itawapa kipaumbele wabunifu wa…

Soma Zaidi »

Mgombea urais ADC aahidi satelaiti kuharakisha kesi

CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimeahidi kujenga mifumo ya setalaiti nchi nzima ili kuboresha huduma kwenye sekta mbalimbali.…

Soma Zaidi »

Mwigulu amsifu Samia kutimiza maono ya Nyerere

WAZIRI wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi aliyetimiza maono ya Baba wa Taifa, Julius…

Soma Zaidi »

INEC yatoa maagizo matano upigaji kura

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeagiza wapigakura waliopoteza kadi waruhusiwe kupiga kura kwa kutumia kitambulisho cha taifa cha…

Soma Zaidi »

Nchimbi: Asiyempigia kura Samia hana nia njema

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema yeyote atakayekataa kumpigia kura mgombea wake wa urais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan hana nia…

Soma Zaidi »

Kombo atangaza fursa ajira 50,000 nje ya nchi

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema Tanzania imepokea mkataba wa ajira…

Soma Zaidi »

CCM Iringa yapokea viongozi wa Chaumma Iringa na Njombe

IRINGA: Wimbi la hamasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kampeni za ubunge jimbo la Iringa Mjini limeendelea kushika kasi…

Soma Zaidi »

Mwinyi afunga kampeni Pemba, aeleza vipaumbele 10 vya maendeleo

MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini Kaskazini wahimiza amani

VIONGOZI wa dini kutoka mikoa ya Kanda ya Kaskazini wamewataka Watanzania kulinda amani ya nchi, hasa taifa linapoelekea katika Uchaguzi…

Soma Zaidi »

Tukemee wanaotaka kuleta vurugu uchaguzi mkuu

OKTOBA 29 mwaka huu Watanzania watakuwa katika hatua muhimu ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua rais, wabunge na madiwani…

Soma Zaidi »
Back to top button