Siasa

INEC yataja utaratibu wa kugombea urais

SHERIA ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Namba 1 ya mwaka 2024 inataka mgombea wa urais kuwasilisha fomu za…

Soma Zaidi »

TCRA yatoa mwongozo SMS za Uchaguzi Mkuu

DAR-ES-SALAAM : MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa mwongozo kuhusu usambazaji wa maudhui na arafa (ujumbe mfupi kwa simu za…

Soma Zaidi »

Msajili ahoji maelezo ugombea wa Mpina

DAR-ES-SALAAM : OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia barua Chama cha ACT Wazalendo kikitaka maelezo kuhusiana na malalamiko…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara tumieni fursa za uchaguzi

DODOMA : WAJASIRIAMALI wametakiwa kujipanga kufanya biashara wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwenye maeneo yao ili wajiinue kiuchumi.

Soma Zaidi »

Bakwata yatahadharisha chuki, visasi uchaguzi mkuu 2025

DODOMA :BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Dodoma limevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu viimarishe umoja badala…

Soma Zaidi »

Mwanahabari apitishwa udiwani Handeni

HANDENI : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Handeni mkoani Tanga kimetangaza majina ya wagombea udiwani. Mwandishi wa habari na mdau…

Soma Zaidi »

CCM yataka viwanda vichangie 25% pato Z’bar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaielekeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) iongeze mchango wa sekta ya viwanda katika Pato…

Soma Zaidi »

NLD yaahidi elimu bure hadi vyuo vya kati

CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimesema serikali yake itatoa elimu bure hadi kidato cha sita na vyuo vya…

Soma Zaidi »

Kuagiza bahari ifukiwe kupata ardhi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaielekeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ianze mpango wa kufukia bahari ili kupata ardhi…

Soma Zaidi »

Askofu: Tukatae rushwa Uchaguzi Mkuu

TANGA : KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki limetoa wito kwa wananchi kukataa rushwa za…

Soma Zaidi »
Back to top button