Siasa

Hasham achukuwa fomu Ulanga

MOROGORO: Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ulanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Salim Alaudin Hasham ameahidi ahadi ujenzi wa hospitali…

Soma Zaidi »

Mwakioja achukuwa fomu Mkinga

TANGA: MGOMBEA ubunge jimbo la Mkinga kupitia Chama Cha Mapinduzi ( CCM )Twaha Mwakioja amechukuwa fomu kwa Tume Huru ya…

Soma Zaidi »

Wananchi Monduli waisifu CCM ‘Kadogoo’ kurejeshwa

ARUSHA: WANANCHI wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha wameishukuru Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uamuzi wa kurejesha…

Soma Zaidi »

Baraza la Ushauri la Viongozi Wastaafu: Nguzo ya Busara, Uadilifu CCM

MIONGONI mwa mambo yaliyoipa CCM uhai, uimara na uimarikaji katika safari yake ndefu ya kisiasa, ni hekima ya kuwatumia viongozi…

Soma Zaidi »

Samia apongeza walioteuliwa kugombea

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amepongeza wanachama walioteuliwa kugombea nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani.…

Soma Zaidi »

Kiza Mayeye atwaa fomu ubunge Kigoma Kaskazini

KIGOMA: Mgombea ubunge wa Chama Cha ACT Wazalendo, Kiza Mayeye amechukua fomu kutoka ume huru ya Taifa ya uchaguzi (INEC)…

Soma Zaidi »

Mchinjita akabidhiwa fomu ya uteuzi ubunge Lindi Mjini

LINDI: Isihaka Rashid Mchinjita amekabidhiwa fomu ya Uteuzi kuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Lindi Mjini kupitia Chama Cha Act…

Soma Zaidi »

Ngajilo atikisa Iringa Mjini akichukua fomu

IRINGA: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo, amevuta macho na masikio ya…

Soma Zaidi »

Kiswaga aanza safari ya pili kuingia bungeni

Mbio za kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 zimeanza kuchukua njia yake katika Jimbo la Kalenga, baada ya aliyekuwa Mbunge…

Soma Zaidi »

Pinda mambo magumu ubunge CCM

DODOMA — Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemtema aliyekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Ardhi, Geophrey Mizengo Pinda, na kumteua Laurent…

Soma Zaidi »
Back to top button