Fursa

Sangweni: Mfungamano gesi asilia, kilimo utaongeza tija

DODOMA: ENDAPO sekta za gesi asilia na kilimo zitafungamanishwa vema zitaongeza tija katika uchumi kwani zinategemeana. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka…

Soma Zaidi »

Ambindwile aahidi mikopo riba nafuu Iringa Mjini

IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wakili Moses Ambindwile, amezindua ajenda yenye mvuto…

Soma Zaidi »

Kundi la madereva lawasili Doha kuanza kazi

KUNDI la kwanza la madereva 28 wa Kitanzania, kati ya madereva 103 limewasili katika Doha kuanza kazi zao katika Kampuni…

Soma Zaidi »

Maonesho ujuzi, ajira yadhihirisha uwekezaji wa Uswis kwa vijana TZ

IRINGA: Naibu Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Nicole Providoli, ameshiriki uzinduzi wa maonyesho ya ujuzi, fani na ajira kwa vijana…

Soma Zaidi »

Mashamba ya kahawa Kagera kupimwa kidigitali

KAGERA: Kampuni ya Bizy Tech kwa kushirikiana na Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imeanza utekelezaji wa mpango wa utambuzi wa…

Soma Zaidi »

Vijana watakiwa kuchangamkia fursa elimu nje

ARUSHA: VIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa za masomo nje ya nchi ili waweze kujiendeleza zaidi kielimu kupitia vyuo vikuu mbalimbali duniani.…

Soma Zaidi »

Maonesho ya ujuzi, ajira kuwakutanisha vijana 3,000 Iringa

IRNGA: Zaidi ya vijana 3,000 kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Iringa wanatarajiwa kushiriki katika maonesho ya ujuzi, fani na…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara waguswa neema daraja la JPM

GEITA: WAFANYABIASHARA na wakulima mkoani Geita wamekiri kuwa baada ya kukamilika na kuzinduliwa daraja la JP Magufuli kumepunguza gharama za…

Soma Zaidi »

Sh milioni 800 kutolewa mikopo wajasiriamali Kigoma Ujiji

KIGOMA: HALMASHAURI Manispaa ya Kigoma Ujiji inatarajia kutoa Sh milioni 800 mkopo kwa vikundi 71 vya wajasiriamali na wafanyabiashara ndogondogo…

Soma Zaidi »

Changamkieni mikopo asilimia 10- Kiongozi mbio za mwenge

ARUSHA: VIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na serikali ya asilimia 10 za mapato ya ndani…

Soma Zaidi »
Back to top button