Kanda

Tunduru yapokea mradi wa oksijeni wa bil 1.5/-

HOSPITALI ya Wilaya ya Tunduru imekabidhiwa rasmi mradi wa uzalishaji na usambazaji wa hewa tiba ya oksijeni, unaogharimu sh bilioni…

Soma Zaidi »

Ujenzi madaraja barabara ya Kusini wafika patamu

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekagua na kuridhishwa na hatua mbalimbali za ujenzi wa madaraja ya dharura yaliyoko katika Mkoa…

Soma Zaidi »

Dk Mwigulu aagiza mkandarasi kukamatwa, kuzuia hati yake

WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi…

Soma Zaidi »

Wazee Tanga waasa vijana

Wazee jijini Tanga wamewashauri vijana kuacha mihemko katika maamuzi badala yake wasikilize ushauri wa watu waliowazidi umri ambao wana ukomavu…

Soma Zaidi »

Watuhumiwa 93 wa vurugu za uchaguzi wafikishwa mahakamani Mwanza

KESI inayowakabili watuhumiwa 93 kati ya 172 wanaodaiwa kuhusika katika matukio ya uhalifu yaliyotokea wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba…

Soma Zaidi »

Mil 584/- kukamilisha shule wilaya ya Chato

SERIKALI imepanga kutumia sh milioni 584 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari Butengolumasa wilayani Chato mkoa wa…

Soma Zaidi »

NMB Mbarali yakabidhi kompyuta shule ya Msingi Vikaye

BENKI ya NMB imekabidhi Kompyuta tano kwa shule ya msingi Vikaye iliyopo kata ya Igava Wilaya ya Mbarali mkoa wa…

Soma Zaidi »

TARURA Ruvuma kutekeleza miradi ya bil 22/-

WAKALA ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Ruvuma umeendelea kunufaika na uwekezaji mkubwa wa Serikali katika miundombinu…

Soma Zaidi »

TANAPA yaguswa na upungufu wa damu hospitalini

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeeleza kuguswa na changamoto ya upungufu wa damu kwenye hospitali nchini na kuahidi…

Soma Zaidi »

Wanakijiji wahimizwa ushirikiano na Polisi kuimarisha usalama

Wananchi wa Kijiji cha Minyaa mkoani Singida wamehimizwa kushikamana na kushirikiana kwa karibu na Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama…

Soma Zaidi »
Back to top button