Tanzania

Samia azungumzia maendeleo SGR, bomba la mafuta

DODOMA: RAIS Dk Samia Suluh Hassan amesema kazi inayoendelea kwa sasa ni ukamilishaji wa Reli ya Kisasa (SGR) na Mfereji…

Soma Zaidi »

Uchumi Tanzania waendelea kukua kwa kasi

DAR ES SALAAM: Tanzania inaendelea kuwa miongoni mwa nchi za Afrika zenye ukuaji wa haraka wa uchumi, kwa ukuaji wa…

Soma Zaidi »

Korosho zaimarisha maandalizi ya wanafunzi Mtwara

MTWARA: BAADHI ya wakulima wa zao la korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wamesema kupitia fedha za…

Soma Zaidi »

Diwani Geita atangaza oparesheni watoto wasioripoti shule

DIWANI wa Kata ya Nyanguku Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Elias Ngole ametangaza kufanyika kwa oparesheni maalum kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Pugu Kazimzumbwi yaimarisha mapato serikalini

PWANI: HIFADHI ya Msitu wa Mazingira Asilia Pugu Kazimzumbwi imeendelea kuwa miongoni mwa nguzo muhimu katika kukuza sekta ya utalii…

Soma Zaidi »

Balozi Luhemeja amkabidhi ofisi Dk Muyungi

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk Richarid Muyungi amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa…

Soma Zaidi »

NIC, TCAA zaimarisha utekelezaji Bima ya Wageni

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC Insurance), Kaimu Abdi Mkeyenge, ameongoza ujumbe wa NIC…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

Meaning A sitting mat is a traditional woven mat that is spread on the floor and used mainly for sitting.…

Soma Zaidi »

Vikundi 10 vya bodaboda kupata Bima ya Afya Arusha

ARUSHA: Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, ameahidi kuchangia Bima ya Afya kwa Wote kwa waendesha bodaboda 60 kutoka…

Soma Zaidi »

Wazazi viongozi wahimizwa kushirikiana elimu bure

MTWARA: VIONGOZI wa ngazi mbalimbali mkoani Mtwara wametakiwa kuweka mikakati mahususi kwa kushirikiana na wazazi na walezi ili kuhakikisha wanafunzi…

Soma Zaidi »
Back to top button