Tanzania

“Msitoze fedha elimu ni bure”

SHINYANGA: WALIMU wa Shule ya Msingi Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga    wametakiwa kufuata waraka wa elimu wa mwaka…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuwajibika mikopo ya halmashauri

SHINYANGA: MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita amesema maofisa maendeleo ya jamii na madiwani wasikwepe kusimamia mikopo ya asilimia…

Soma Zaidi »

Waziri wa Ulinzi na JKT azindua bodi mpya ya ushauri SUMAJKT

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Rhimo Nyansaho amezindua Bodi Mpya ya Ushauri ya Shirika la Uzalishaji…

Soma Zaidi »

Samia aagiza viongozi watekeleze ahadi za kampeni

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi aliowateua hivi karibuni wakiwemo mawaziri na naibu mawaziri wakatekeleze kwa wakati ahadi zilizotolewa kwa…

Soma Zaidi »

Makonda aanza kazi, ataka watendaji wizara wajipime

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda (Pichani) amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo, Profesa…

Soma Zaidi »

Tathmini yaibua matumaini mapya gesi asilia

DAR ES SALAAM: Tathmini ya data za mitetemo za 3D zilizochukuliwa katika Kitalu cha Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia…

Soma Zaidi »

Shule za msingi safi kupokea wanafunzi

DODOMA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na…

Soma Zaidi »

Wahasibu kujumuika kujadili taaluma yao

DAR ES SALAAM: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kimeandaa Siku ya Kazi kwa Wahasibu…

Soma Zaidi »

Wadau wampongeza Dk Mwinyi kuwaunganisha Wazanzibari

WADAU wa uchumi na siasa wamempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ally Mwinyi kwa…

Soma Zaidi »

Madaraja matano Kagera kukamilika Februari  2026

KAGERA: SERIKALI imetenga zaidi ya Sh bilioni 45 kwa ajili ya ujenzi wa madaraja matano ya kudumu mkoani Kagera ambayo…

Soma Zaidi »
Back to top button