Tanzania

Upinzani wampongeza Dk. Mwigulu

WABUNGE wa vyama vya upinzani wameeleza matarajio yao kwa Waziri Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba ukiwemo usimamizi wa rasilimali za…

Soma Zaidi »

Chamwino yatoa hati 11, yapima ekari 6,600

KATIKA kutatua migororo ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Chamwino mkoani hapa Halmashauri ya Wilala ya Chamwino imepima zaidi…

Soma Zaidi »

Mwigulu: Nakuja na fyekeo

WAZIRI Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba ameonya watumishi wa umma wavivu, wazembe na wala rushwa. Dk Mwigulu ameagiza waache mara…

Soma Zaidi »

Bunge lamthibitisha Mwigulu

BUNGE limethibitisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba awe Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Soma Zaidi »

Kuapishwa Leo Ikulu Chamwino

RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kumuapisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya…

Soma Zaidi »

JWTZ yaonya wanaotumia jeshi kupotosha mitandaoni

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesisitiza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya Usalama na Mamlaka ya…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi atangaza Baraza Jipya la Mawaziri

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye sura…

Soma Zaidi »

Dk Mwigulu apokelewa Ofisi ya Waziri Mkuu

Soma Zaidi »

Mfahamu Waziri Mkuu Mpya

DK. MWIGULU Lameck Nchemba ni miongoni mwa viongozi wa kisasa wa Tanzania wanaotambulika kwa umahiri katika taaluma ya uchumi na…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

Meaning “Chumba cha kulala wageni” means “guest bedroom” or “guest room” in English. Chumba = room Cha = of /…

Soma Zaidi »
Back to top button