Tanzania

Rais Mwinyi kutangaza Baraza jipya la Mawaziri

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kutangaza Baraza jipya la Mawaziri kesho,…

Soma Zaidi »

Ndoinyo aahidi kutekeleza ahadi zake zote

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Yannick Ndoinyo ameahidi kutekeleza ahadi zote alizoahidi kwa wananchi wa jimbo hilo.…

Soma Zaidi »

Huduma mpya TTCL kukuza uchumi kidijitali

DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linaendelea kukuza uchumi wa kidijitali kwa kuhakikisha inatoa huduma bora kwa gharama…

Soma Zaidi »

Bunge Kuthibitisha Waziri Mkuu Kesho

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho, Novemba 13, 2025, Bunge litakuwa…

Soma Zaidi »

CBE yatakiwa kuanzisha kozi maalum za Elimu ya Biashara

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, ametoa wito kwa Chuo cha Elimu ya Biashara…

Soma Zaidi »

TPBA yalaani vurugu, uharibifu

DAR ES SALAAM: CHAMA cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimelaani vurugu na uharibifu wa mali uliotokea Oktoba 29 siku…

Soma Zaidi »

TENMET yapongeza ushirikiano wa serikali, wadau wa elimu

MRATIBU wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET), Martha Makala, ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kuongeza…

Soma Zaidi »

Handeni Mji yaweka mikakati kuimarisha afua za lishe

TANGA: HALMASHAURI ya Mji Handeni imeainisha mikakati mitano ya kuimarisha utekelezaji wa afua za lishe, ili kukabiliana na changamoto za…

Soma Zaidi »

Wahamiaji 38 Wakamatwa Mbeya

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu 38, wakiwemo raia mmoja wa Ethiopia, kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha…

Soma Zaidi »

Utafiti na uendelezaji madini ya kimkakati waiva

SHIRIKA la Utafiti na Maendeleo ya Viwwanda Tanzania (TIRDO) pamoja Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) yameingia makubaliano ya awali…

Soma Zaidi »
Back to top button