Tanzania

Chalamila arudisha tabasamu kwa Alice

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi Alice Nyamwiza Haule, mjane wa marehemu Justus Rugaibula, hati ya…

Soma Zaidi »

“Amani ni kwa wote, hata wasiokuwa na vyama”

ARUSHA: Kuhani ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Kilokole ya The Pool of Shiloam Church nchini, Amani Upendo Furaha…

Soma Zaidi »

Tamisemi yaunga mkono bunifu za Temdo

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf Ndunguru amesema TAMISEMI itaendelea kushirikiana na…

Soma Zaidi »

UWT:Wapuuzeni wanaopiga kelele,mkapige kura

KATIBU MKUU wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Susan Kunambi, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga…

Soma Zaidi »

Kairuki aahidi kutatua migogoro ya ardhi Msigani

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba, Angellah Kairuki, ameainisha vipaumbele 10 atakavyotekeleza katika kata ya Msigani ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge…

Soma Zaidi »

Msando aihakikishia Ubungo amani Oktoba 29

DAR ES SALAAM: WAFANYABIASHARA wa Wilaya ya Ubungo wamehakikishiwa uwepo wa amani Oktoba 29, siku ya uchaguzi na kwamba baada…

Soma Zaidi »

Askofu ataka watanzania kuhubiri amami

ARUSHA: ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya International Evangelism Church(IEC) Tanzania, Askofu Eliudi Isangya amewataka watanzania kila mmoja kwa imani yake…

Soma Zaidi »

Teknolojia kuimarisha uchumi Bara, Zanzibar

ARUSHA: SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imeaihidi kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania Bara na Zanzibar kwa kutumia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na…

Soma Zaidi »

Usalama wakwamisha wakimbizi DRC kurudi kwao

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema kuwa wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanaohifadhiwa…

Soma Zaidi »

RC Tanga awaonya waliopanga kuandamana

TANGA: MKUU wa Mkoa wa Tanga, Dk Batlida Burian ametoa onyo kuwa hawatosita kuwachukulia hatua kali za kisheri kwa mtu…

Soma Zaidi »
Back to top button