Tanzania

Dk Mwigulu asimikwa kuwa Kanoni Mlei Kanisa Anglikana Tanzania

TANGA; Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Oktoba 4, 2026, amesimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei (Lay Canon) wa Kanisa…

Soma Zaidi »

Mradi wa Bwawa la Kidunda wafikia asilimia 70

MOROGORO. Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, amesema ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, unaogharimu Sh bilioni 336,…

Soma Zaidi »

‘Benki zisiogope kukopesha wachimbaji madini’

GEITA: Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amezitaka benki na taasisi za fedha nchini kuandaa bidhaa na…

Soma Zaidi »

AFCON yafungua fursa mpya utalii Tanzania

DAR ES SALAAM: Tanzania imeendelea kutumia fursa ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kujitangaza kimataifa kupitia kampeni…

Soma Zaidi »

Kadogosa ataka ushirikiano kuimarisha ujenzi

DODOMA: WAZIRI wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amesema atashirikiana kwa karibu na viongozi na watumishi wa wizara hiyo kuhakikisha miradi inayotekelezwa…

Soma Zaidi »

Ndejembi: Umeme chachu maendeleo ya kiuchumi

DAR ES SALAAM: MAKAMU wa Rais, Deogratius Ndejembi, amesema Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi unaotekelezwa kwa ushirikiano…

Soma Zaidi »

Serikali yazindua mwongozo elimu ya fedha kwenye mitaala

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amezindua rasmi Mwongozo wa Kuchopeka Elimu ya…

Soma Zaidi »

Kituo kipya kuongeza huduma za meno

DAR ES SALAAM: Huduma za afya ya kinywa nchini zinatarajiwa kuimarika baada ya Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam…

Soma Zaidi »

Kamati zatakiwa kuwajibika tahadhari ya El Nino

KIGOMA: Serikali imezitaka kamati za maafa katika mikoa na wilaya nchini kuchukua tahadhari mapema dhidi ya madhara yanayoweza kusababishwa na…

Soma Zaidi »

TARURA yaongeza kasi barabara za AFCON Arusha

ARUSHA: Ujenzi wa barabara zinazounganisha maeneo mbalimbali na Uwanja wa AFCON jijini Arusha umefikia zaidi ya asilimia 60, hatua inayolenga…

Soma Zaidi »
Back to top button