Tanzania

Tanzania kuendeleza mapinduzi ya elimu

VIENNA, AUSTRIA : TANZANIA imeahidi kuendeleza mapinduzi ya kidigitali katika sekta ya elimu kupitia ushirikiano na Kampuni ya eee Austria.

Soma Zaidi »

Dk. Mwinyi asema ahadi za serikali zinatekelezwa

ZANZIBAR : MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amewatoa wasiwasi Watanzania juu…

Soma Zaidi »

Samia: CCM tutakuza kipato binafsi

ZANZIBAR : MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema wakipewa ridhaa, Serikali za Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi »

Serikali kuandaa wataalamu wa nyuklia

VIENNA, AUSTRIA : TANZANIA imeanza kuandaa wataalamu wa Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia kupitia vyuo vya ndani na nje ya…

Soma Zaidi »

Wananchi waalikwa tamasha la Nyangumi

MTWARA: WANANCHI mkoani Mtwara na wanaotoka nje ya mkoa huo wameombwa kutembelea kijiji cha Msimbati kwenye Halmashauri ya Wilya ya…

Soma Zaidi »

Wakazi Kasulu kuagana maji yenye matope

KIGOMA: Kukamilika kwa ujenzi wa chujio la maji kutoka chanzo cha Mto Chai na Msemo unaohudumia wakazi wa mji wa…

Soma Zaidi »

Dk Mussa awafunda viongozi vyama vya ushirika Morogoro

MOROGORO: VIONGOZI wa Bodi za Vyama Vikuu vya Ushirika Mkoa wa Morogoro wametakiwa kufuata sheria , kanuni na taratibu katika…

Soma Zaidi »

NCCR-Mageuzi kuboresha afya, elimu Zanzibar

ZANZIBAR: MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Laila Rajab Khamis, amesema chama hicho kimejipanga kufanya mapinduzi makubwa…

Soma Zaidi »

Wananchi washauriwa kuwa karibu na polisi

DAR ES SALAAM: WITO umetolewa kwa wananchi kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili liweze kutekeleza kikamilifu majukumu yake ya…

Soma Zaidi »

Watumishi watakiwa kufundwa sheria za kazi

ARUSHA: NAIBU Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Walemavu, Zuhura Yunus amewahimiza waajiri kote nchini kujenga utamaduni wa…

Soma Zaidi »
Back to top button