Tanzania

Wananchi wanaoishi pembezoni mwa Bukoba kupata maji safi

BUKOBA: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bukoba (BUWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa maji ambao wa Sh bilioni…

Soma Zaidi »

Balozi, bosi Sonatrach wateta fursa za uwekezaji sekta ya mafuta, gesi asilia

Algiers, Algeria: Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Iman Njalikai amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyekiti na mkurugenzi mtendaji wa Kampuni…

Soma Zaidi »

CCK yaahidi mageuzi kwa wananchi

ARUSHA: CHAMA cha Kijamii (CCK) kimeishukuru Serikali kwa kutoa magari kwa kila mgombea kupitia Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) pamoja…

Soma Zaidi »

Watumishi Moi wakumbushwa maadili, lugha za staha

DODOMA: WAFANYAKAZI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamekumbushwa kufanya kazi kwa uadilifu, kutumia lugha za staha…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi afungua majengo ya Mahakama

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi majengo mapya ya…

Soma Zaidi »

Usomaji endelevu waja kukuza umahiri enzi ya kidijitali

MOROGORO: SEPTEMBA 8 hadi 9 kila mwaka Tanzania inaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Kusoma Duniani inayolenga kufuta ujinga…

Soma Zaidi »

Kairuki aahidi kuimarisha barabara, maji na ajira Kibamba

DAR ES SALAAM: MGOMBEA Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Kibamba, Angellah Kairuki, amesema kuwa endapo atachaguliwa atahakikisha…

Soma Zaidi »

Shida ya maji Kikuku-Muleba yapotea

KAGERA: Zaidi ya wananchi 6,961 wameondokana na changamoto ya maji baada ya Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira…

Soma Zaidi »

Fahamu daraja linalounganisha TZ na China

Kwa kuangalia wigo na upana wa mawasiliano ya kiutamaduni, kipindi cha “Hello Chinese” kimevuka mipaka ya kijiografia na lugha, kikisambaza…

Soma Zaidi »

Tanfoam Marathon kuvuta washiriki 1300

MSIMU wa pili wa mbio za riadha za Tanfoam umepangwa kufanyika Desemba 7 mwaka huu jijini Arusha huku ukirajiwa kuvuta…

Soma Zaidi »
Back to top button