Tanzania

Tanzania yapewa fursa masomo nchi 5 Afrika

DAR ES SALAAM: Tanzania ni moja kati ya nchi zilizopewa nafasi ya fursa ya masomo katika nchi tano ikiwemo Ghana,…

Soma Zaidi »

Mfumo wa zabuni kidigitali kuleta ushindani kwa wajasiriamali

DAR ES SALAAM: Sekta binafsi nchini Tanzania inatarajiwa kupata msukumo mkubwa baada ya kuzinduliwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa…

Soma Zaidi »

Watoto wenye ulemavu kupewa viti mwendo

ARUSHA: SHIRIKA la World Vision Tanzania limeeleza kuwa litasaidia utoaji wa viti mwendo kwa watoto wenye ulemavu katika kata za…

Soma Zaidi »

Serikali yawanyooshea vidole wanaoleta taharuki

SERIKALI imeonya vikundi, makundi ya watu pamoja na vyama vya siasa vitakavyoendesha kampeni za uchochezi, matumizi ya lugha za matusi…

Soma Zaidi »

Tanzania, Sweden kuimarisha uhusiano

STOCKHOLM : BALOZI wa Tanzania nchini Sweden,Balozi Mobhare Matinyi, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa…

Soma Zaidi »

ACT-Wazalendo yajipanga kushiriki uchaguzi kwa amani

ZAZNIBAR; Chama cha ACT-Wazalendo kinaendelea kujiandaa kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa amani, licha ya kupinga kura ya…

Soma Zaidi »

GGML yafadhili kuimarisha usalama barabarani Geita

KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) imetoa ufadhili wa programu ya mafunzo ya usalama barabarani kwa maofisa usafirishaji…

Soma Zaidi »

AfDB yaipiga jeki TADB usimamizi wa vihatarishi vya mabadiliko ya tabianchi

DAR ES SALAAM — Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeunga mkono Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) katika…

Soma Zaidi »

Mhita ataka usimamizi bora maadili kwa watumishi

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amewataka wajumbe wa kamati za Maadili na Maafisa wa Mahakama za Wilaya na…

Soma Zaidi »

Kodi mpya ya miti fursa kwa viwanda na ajira Iringa

IRINGA: Serikali imefanya marekebisho ya sheria ya kodi kwa bidhaa za miti zinazouzwa nje ya nchi, hatua ambayo inalenga kuhamasisha…

Soma Zaidi »
Back to top button