Tanzania

Wakulima 200 kunufaika mradi wa kilimo rafiki Geita

GEITA: WAKULIMA 200 wa halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani hapa wamepewa fursa ya kunufaika na mradi wa Kilimo Rafiki…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

Meaning of “jumlisha” In Swahili, the word jumlisha means “to add together” or simply “to add” in mathematics. It comes…

Soma Zaidi »

Saa yatimia uteuzi wagombea ubunge CCM

DODOMA; MACHO na masikio ya Watanza nia leo yataangazia jijini Dodoma ambako Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaanza vikao vya kitaifa…

Soma Zaidi »

TRC kutoa ajira 2,460 reli Dar – Makutopora

DAR ES SALAAM: Ajira 2,460 zinatarajiwa kutolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC), katika utekelezaji wa mradi wa reli ya…

Soma Zaidi »

MCT, mawakili kulinda usalama wa wanahabari

ARUSHA: Baraza la Habari Tanzania (MCT) limezindua mpango maalum wa kushirikisha mawakili wa haki za binadamu ili kutoa msaada wa…

Soma Zaidi »

Vijana wapewa mbinu kujikwamua kiuchumi

MWENYEKITI wa Bodi ya Uwekezaji  ya UTT AMIS, Profesa Faustine Kamuzora amewashauri vijana ambao ni kundi kubwa na wenye nguvu…

Soma Zaidi »

Tanzania kati ya nchi 12 zenye utajiri bioanuai

MOROGORO: SERIKALI kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais (VPO) kwa kushirikiana na wadau wa mazingira imeanza utekelezaji wa mkakati na…

Soma Zaidi »

Biteko ataka bajeti ajenda ya wanawake, amani, usalama

SERIKALI imeagiza wizara, taasisi za serikali na wadau wa maendeleo watenge bajeti ya kutekeleza Ajenda ya Wanawake, Amani na Usalama…

Soma Zaidi »

Kabudi: Tuithibitishie dunia utulivu Tanzania

SERIKALI imesema waandishi wa habari wana jukumu la kuithibitishia dunia kwamba Tanzania ni taifa lenye umoja, amani na utulivu. Waziri…

Soma Zaidi »

Waandishi watakiwa kuandika habari za Dira 2050

WAANDISHI wa Habari wametakiwa kufanya uchambuzi na kuandika habari zinazohusu Dira ya Taifa 2050 iliyozinduliwa Julai,2025 ili kuhakikisha kila mwananchi…

Soma Zaidi »
Back to top button