Tanzania

Wananchi kupewa rushwa ni kudharauliwa na wagombea

DAR ES SALAAM; TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewataka wapigakura na wagombea kutopokea au kutoa rushwa hasa…

Soma Zaidi »

Rais Samia achangia ujenzi wa Kanisa Maswa

SIMIYU; RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa Sh milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa…

Soma Zaidi »

Rolinga apiga jeki wenye ulemavu

DAR ES SALAAM: KATIKA kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, Nabii Samwel Samson Rolinga, maarufu kama SS Rolinga, ametoa msaada wa…

Soma Zaidi »

DC Geita aonya utitiri wa mikopo ya pikipiki halmashauri

MKUU wa Wilaya ya Geita, Hashimu Komba amezitaka halmashauri kubuni miradi mbadala kwa ajili ya kukopesha vikundi maalum badala ya…

Soma Zaidi »

Mwenge waridhishwa na mradi wa ufyatuaji matofali

MANYARA: Mwenge wa Uhuru umeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ufyatuaji matofali ya ‘block’ unaotekelezwa na Kikundi cha Wanawake cha…

Soma Zaidi »

CCM yawapoza wahanga wa moto Iringa

“Tumeumia pamoja nanyi. Niwahakikishie—hatuwezi kuwageuzia mgongo. Tunasubiri tathmini na tutasaidia hapa na pale mrejee katika shughuli zenu. Na kama wahusika…

Soma Zaidi »

DC Mgomi aridhishwa utekelezaji miradi Ileje

SONGWE: MKUU wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, Farida Mgomi, amefanya ziara ya kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo…

Soma Zaidi »

Mahakama Kuu yatupa maombi ya Lissu

DAR ES SALAAM; MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya mapitio yaliyowasilishwa na…

Soma Zaidi »

Mabaraza vyombo vya habari Afrika kukutana Arusha

DAR ES SALAAM – Mabaraza ya vyombo vya habari kutoka nchi mbalimbali za Afrika yanatarajiwa kukutana jijini Arusha kuanzia Julai…

Soma Zaidi »

Hifadhi ya Saadani na maajabu sanamu ya Bikira Maria

PWANI; Sanamu ya Bikira Maria (Mariam), anayesemwa katika vitabu vitakatifu vya Biblia Takatifu na Kurani Tukufu kuwa ni Mama wa…

Soma Zaidi »
Back to top button