Utalii

Mil 754.6/- zatumika kuboresha malazi Rubondo

SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imetumia sh milioni 754.60 kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa miundombinu ya…

Soma Zaidi »

TANAPA kufadhili vizimba vya samaki kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya…

Soma Zaidi »

TANAPA yafungua milango ya wawekezaji Rubondo

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limefungua milango ya uwekezaji kwenye Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo mkoani Geita…

Soma Zaidi »

Umuhimu wa utalii katika kukuza uchumi jumuishi

KWA kuwa utalii ni miongoni mwa sekta kubwa na zinazokua kwa kasi duniani kote; inatoa ajira, inakuza tamaduni na kuchangia…

Soma Zaidi »

Simiyu yapewa mafunzo ya uhifadhi

SIMIYU : BAADHI ya wajumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii wamewasili mkoani Simiyu kwa ajili…

Soma Zaidi »

UN yaitaja Tanzania kinara ongezeko la watalii

TANZANIA imejumuika na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Utalii Duniani inayofanyika Septemba 27 kila mwaka, huku imeendelea kutajwa na…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Benhubert watembelea Hifadhi ya Mikumi

MOROGORO; WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Benhubert ya Kivule, Dar es Salaam, wakiwa kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliyopo…

Soma Zaidi »

Kisiwa cha Lundo, historia ya ukatili iliyogeuka Fahari ya utalii

Kisiwa cha Lundo ni kisiwa kidogo chenye ukubwa wa hekta 20 kilichoko katikati ya Ziwa Nyasa, takribani mwendo wa dakika…

Soma Zaidi »

Samia apaisha watalii, mapato Selous

JUHUDI za Rais Samia Suluhu Hassan za kutangaza utalii kupitia filamu ya Tanzania: The Royal Tour zimeongeza idadi ya watalii…

Soma Zaidi »

‘The Royal Tour yapaisha mapato Selous’

Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za kutangaza utalii kupitia filamu ya Tanzania; The Royal Tour, zimeongeza idadi ya Watalii…

Soma Zaidi »
Back to top button