CCM wampitisha Baba Levo Kigoma Mjini

DODOMA — Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua msanii Clayton Revacatus Chiponda ‘Baba Levo’ kugombea kiti cha Ubunge kwa Jimbo la Kigoma Mjini katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Baba Levo alikuwa akisubiri uteuzi huo pamoja na wanaCCM wengine watano, ambao ni Baruani Abdallah Muhuza, Kirumba Shaaban Ng’enda, Ahmadi Yahya Sovu, Maulid Mohamed Kikondo na Moses John Basila.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button