Dk Biteko azindua mfumo Tai Habari

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, leo Julai 9, 2025 amezindua Mfumo wa TAI HABARI ambao unatumika na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari kusajili wanahabari Tanzania.

Uzinduzi huo umefanyika wakati wa Mkutano wa Wadau Kujadili Mchango wa Sekta ya Habari katika kufanikisha Uchaguzi Mkuu 2025 katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button