Dk. Mwinyi akagua ujenzi ‘Sports City’ Fumba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kimkakati wa Zanzibar Sports City unaoendelea katika eneo la Fumba, Mkoa wa Mjini Magharibi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya michezo ya AFCON 2027.

Akiwa katika ziara hiyo, Dk. Mwinyi aliihakikishia Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo pamoja na Kampuni ya ORKUN GROUP, inayotekeleza mradi huo, kuwa Serikali imejitokeza kikamilifu kuhakikisha ujenzi unakwenda kwa kasi, ufanisi na uzingatiaji wa viwango vya kimataifa. Alisisitiza umuhimu wa changamoto zote zinazojitokeza kuwasilishwa mapema ili Serikali iweze kutoa ufumbuzi wa haraka.

Rais Mwinyi aliambatana na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo,Riziki Pemba Juma, pamoja na Naibu Waziri, Ali Abdulgullam Hussein, katika ziara iliyofanyika leo,Novemba  18. Mradi wa Zanzibar Sports City ni miongoni mwa miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa lengo la kuimarisha miundombinu ya michezo na kuchochea maendeleo ya sekta hiyo nchini.

Awamu ya kwanza ya mradi huo inahusisha ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Mpira wa Miguu wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 36,500 pamoja na viwanja viwili vya mazoezi vyenye uwezo wa kubeba mashabiki 15,000 kila kimoja. Moja ya viwanja hivyo kimepangwa pia kutumika kwa sherehe za Kitaifa. Ujenzi wa mradi huo unatarajiwa kukamilika ifikapo Desemba 2026. SOMA: Makalla akagua uwanja wa AFCON , ujenzi wafikia 60%

Habari Zifananazo

8 Comments

  1. Harusi
    Lugha
    Pakua PDF
    Fuatilia
    Hariri
    Harusi (pia arusi) ni sherehe ambayo hufanyika baada ya watu wawili kuoana, yaani kufunga ndoa.

    Harusi ni sherehe au |tukio la kijamii ambalo hufanyika wakati wa kuungana kwa mwanamume na mwanamke katika ndoa. Tukio hilo linaweza kuwa na maana na utamaduni tofauti kulingana na jamii au dini husika. Kwa ujumla, harusi ni ishara ya kuanza kwa maisha mapya kwa wanandoa na inaweza kuhusisha ibada, sherehe, na mila kadhaa.

    1. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us →→→→→→→ https://Www.Work27.Online

    2. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

    3. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

  2. Harusi
    Lugha
    Pakua PDF
    Fuatilia
    Hariri
    Harusi (pia arusi) ni sherehe ambayo hufanyika baada ya watu wawili kuoana, yaani kufunga ndoa.

    Harusi ni sherehe au |tukio la kijamii ambalo hufanyika wakati wa kuungana kwa mwanamume na mwanamke katika ndoa. Tukio hilo linaweza kuwa na maana na utamaduni tofauti kulingana na jamii au dini husika. Kwa ujumla, harusi ni ishara ya kuanza kwa maisha mapya kwa wanandoa na inaweza kuhusisha ibada, sherehe, na mila kadhaa.

  3. Harusi

  4. Harusi

  5. Harusi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button