Kopa: Msiangalie mabaya ya wasanii tu

DAR ES SALAAM:MSANII nguli wa muziki wa taarabu nchini, Khadija Kopa, amewataka watengeneza maudhui na wanahabari wa mitandaoni kuacha kuangazia tu mabaya ya wasanii,  badala yake wasaidie kuwashauri na kuwaelekeza mambo ya kufanya ili kuboresha maisha yao.

Akizungumza na HabariLEO, Kopa amesema  watoa maudhui mitandaoni wanapaswa kujenga jamii, siyo kueneza tu taarifa hasi zinazohusu maisha ya watu maarufu.

 

“Wanaofanya umbea mitandaoni, wakizungumzia maisha ya watu, msiwaseme tu kwa mabaya. Elimisheni pia ni kitu gani sahihi wanachopaswa kufanya,” amesema na kuongeza kuwa habari mbaya kusambaa ni rahisi, lakini umuhimu unakuja pale ambapo mtoa taarifa anamwonesha mhusika njia sahihi ya kuboresha maisha yake.

 

Habari Zifananazo

2 Comments

  1. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
    .
    HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

  2. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button