Dorothy Semu amrithi Zitto

ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa ACT akichukuwa nafasi ya Zitto Kabwe.

Dorothy ameshinda kwa kupata kura 534 sawa na asilimia 65.7% ya kura zote, huku mshindani wake Mbarala Maharagande akipata kura 184 sawa na asilimia 34.

3%.

Habari Zifananazo

Back to top button