Edward Lowassa afariki dunia

#HABARI: Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, Dar es Salaam.
 
Taarifa ya kifo chake imetangazwa na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango katika taarifa yake TBC.
 
Habarileo itaendelea kukuletea taarifa zaidi. Endelea kutufuatilia.
 
Mwaka 2015 aliwania urais kwenye uchaguzi mkuu akiwa mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo John Magufuli aliibuka mshindi wa kiti hicho.
 
#MwangwiwaUkarimu
#echoesofkindness
#HabarileoUPDATES