Eriksen, Hojlund waumia

MANCHESTER, England: KIUNGO wa Manchester United, Christian Eriksen atakuwa atakosa michezo kadhaa kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu.

Majeraha hayo huenda yakamuweka nje mchezaji huyo kwa mwezi mmoja, taarifa ya klabu hiyo imeeleza kupitia tovuti yao.

Mshambuliaji Rasmus Højlund pia anasumbuliwa na nyama za paja, United imeeleza huenda Hojlund akarejea mwishoni mwa mwezi huu.

Kikosi cha Ten Hag hivi karibuni kimewakosa majeruhi wachache wakiwemo Lisandro Martinez, Luke Shaw, Tyrell Malacia, Jonny Evans, Casemiro na Amad Diallo huku Aaron Wan-Bissaka akikosekana mechi dhidi ya Luton kutokana na kuugua.

Habari Zifananazo

3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button