Guinra yapiga kura ya maoni kubadilisha katiba

GUINEA : RAIA wa Guinea wamepiga kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa kijeshi, Jenerali Mamadi Doumbouya, kuwania urais licha ya kuchukua madaraka kwa nguvu miaka minne iliyopita.

Kura hiyo ni hatua muhimu katika kipindi cha mpito cha taifa hilo kutoka utawala wa kijeshi kwenda utawala wa raia , lakini wakosoaji wanasema ni unyakuzi wa mamlaka kwa lengo la kuhalalisha utawala wake. Uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika mwezi Desemba.

Guinea imeorodheshwa miongoni mwa nchi za Afrika Magharibi kama Mali, Niger na Burkina Faso ambako mapinduzi ya kijeshi yamekithiri katika miaka ya karibuni na kuathiri maendeleo nchini humo. SOMA: Tanzania, Guinea Ikweta kuimarisha diplomasia

Habari Zifananazo

One Comment

  1. I honestly didn’t expect much when I first tried this, but here I am making around 6,854/USD a month just by working online a few hours a day from home. It’s not a get-rich scheme, just something steady that’s been working for me quietly in the background. If you’ve been looking for something consistent like I was, here’s what I started with:
    👉 https://www.jobs67.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button