Haaland aumia

MSHAMBULIAJI wa Norway, Erling Haaland atakosa mechi ya Norway dhidi ya Scotland kutokana na jeraha lake la kifundo cha mguu.

Daktari wa timu hiyo amethibitisha kuwa jeraha sio kubwa ┬álakini “ana maumivu makali na hivyo hawezi kutumika kwa mchezo huo.

Haijawekwa wazi kama kuna mchezo mwingine atakosa baada ya kurejea Manchester City.

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button