HAITI : Marekani yalaani mauaji vikongwe 180

HAITI : MAREKANI imelaani  vikali mauaji ya watu 200 ambayo yanadaiwa kufanywa na wanachama wa magenge ya uhalifu nchini Haiti.

Msemaji wa ikulu ya Marekani, Karine Jean-Pierre amesema kuwa ripoti  hiyo imeishtusha Marekani.

Mwanzoni mwa wiki hii , Ofisi ya waziri mkuu wa Haiti ilidai kuwa watu 180 ambao vikongwe waliuawa katika eneo la Cite Soleil baada ya kushambuliwa. SOMA: Watu 70 wamekufa Haiti

Shirika moja lisilo la kiserikali lilisema kuwa mashambulizi hayo yalifanywa na kiongozi mmoja wa genge la uhalifu ambaye anadaiwa  mwanawe kufanyiwa  mambo ya kishirikina.

 

 

Habari Zifananazo

Back to top button