Inonga yupo Simba hadi 2025

KLABU ya Simba ya Dar es Salaam imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili beki wake raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Henock Inonga hadi mwaka 2025.

Mkataba wa sasa wa Simba na Inonga unatarajiwa kumalizika Mei mwaka 2023.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button