Ipo hivi!

DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), leo Mei 8, 2024 jijini Dar es Salaam.

Habari Zifananazo

Back to top button