Jifunze Kiswahili

We continue with letter M
mle,. in that place
mlevi,wa. drunkard
mno,. too much
mnyama, animal
Moja. one
Moja kwa moja ,. Straight on
Moja Moja one by one
Moshi ,. Smoke
moto fire
moyo,. heart
mpaka,mi,. limit boundary
mpaka untill
mpishi,. cook
msaada,mi-,. help
msafara,mi-,. caravan
msafiri,wa-,. traveller(s)
msichana,wa-,. girl(s)
msisimko,. awakening
msingi,mi-,. foundation(s)
mstari,mi-,. line(s)
mtalii,wa-,. tourist(s)
mtende,mi,. palm tree (s)
mtihani,mi-,. examination(s)
We will continue next period