JK azindua jengo la Uhamiaji, makazi ya askari Pemba

PEMBA; Rais mstaafu wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la ofisi ya Uhamiaji na makazi ya askari lililopo wilayani Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene,wa tatu kulia ni Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais(SMZ),Hamza Hassan Juma na wa nne kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala.
Uzinduzi huo ni sehemu ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)



