JKT wasisitiza kuiunga mkono JKT Queens

MISRI: Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele amewataka watanzania kuiunga mkono timu ya JKT Queens inayokwenda kuliwakilisha taifa na ukanda wa CECAFA katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa soka la wanawake.
Meja Jenerali Mabele ameyasema hayo mara baada kumalizika kwa zoezi la upangaji wa makundi liliofanyika Cairo nchini Misri Octoba 27, 2025 ambapo JKT Queens imepangwa Kundi B likijumuisha Bigwa mtetezi TP Mazembe kutoka DR Congo, Asec Mimosas kutoka Ivory Coast na Gaborone United kutoka Botswana.

Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Novemba 8, 2025 hadi Novemba 21, 2025.
Aidha, Meja Jenerali Mabele ametoa wito kwa watanzania kushabikia timu hiyo ya kizalendo yenye wachezaji wazawa kama inavyofanyika mara zote kwa kwa timu za Simba na Yanga zinapowakilisha nchi.
JKT Queens inawakilisha Tanzania na Ukanda wa CECAFA kwa ujumla kwenye michuano hiyo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake ambapo jumla ya timu 8 zitashiriki.




JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern……………………………………. http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com
Easy and easy job on-line from home. begin obtaining paid weekly quite $4k by simply doing this simple home job. I actually have created $4824 last week from this simple job. Its a simple and easy job to try to to and its earnings far better than regular workplace job. everyone (nhf-06) will currently get additional greenbacks on-line by simply open this link and follow directions to urge started.
Click On This Link———>>> https://www.Homeprofit1.site